Cheka Point - Vichekesho

Cheka Point - Vichekesho

Tanzania Tech Media
2020年07月04日
  • 13.0 MB

    文件大小

  • Android 4.1+

    Android OS

关于Cheka Point - Vichekesho

MtandaoNamba☝️waVichekesho

😂Cheka Point ni mtandao wa kijamii ambao unahusisha Video Fupi📹 pamoja na Picha za Vichekesho😹. Kupitia mtandao huu mtumiaji anaweza kupakua au kuweka video au picha za Vichekesho na moja kwa moja unaweza kupata Point ambazo baadae anaweza kuzibadilisha na kuwa Pesa💰 Taslimi 🤑.

Kupitia Mtandao wa Cheka Point unaweza kuweka Video zote za Vichekesho pamoja na kuelimisha, pia unaweza kupakua video yoyote ile unayo ipenda au unaweza kushirikia na wenzako kupitia kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kama Instagram, Facebook, WhatsApp Status na mitandao mingine.

Mengine Cheka Point

» Utaweza kutengeneza akaunti yenye wasifu wako ambapo ndio utatumia kuweza kupata Cheka Point.

» Utaweza kufollow akaunti ya mtu yoyote ambaye unapenda vichekesho vyake

» Utaweza kuweka Video za kuchekesha, picha za vichekesho na pia unaweza kuweka vichekesho kwa kuandika kwa maandishi.

» Utaweza Kutoa Maoni kwenye Video au picha yoyote

» Utaweza kutafuta video za kuchekesha kwa maneno au jina la mtu

» Utaweza kuweka reaction kwenye picha au video yoyote ya kuchekesha

» Na mambo mengine mengi.....

Bado tunaendelea kuboresha app ya Cheka Point hivyo hakikisha unapakuwa app hii kisha toa maoni yako ili tuweze kuboresha zaidi.

更多

最新版本1.8的更新日志

Last updated on 2020年07月04日
New Redesign
更多

视频和屏幕截图

  • Cheka Point - Vichekesho 海报
  • Cheka Point - Vichekesho 截图 1
  • Cheka Point - Vichekesho 截图 2
  • Cheka Point - Vichekesho 截图 3
  • Cheka Point - Vichekesho 截图 4
  • Cheka Point - Vichekesho 截图 5
  • Cheka Point - Vichekesho 截图 6
  • Cheka Point - Vichekesho 截图 7

Cheka Point - Vichekesho历史版本

APKPure 图标

在APKPure上极速安全下载应用

一键安装安卓XAPK/APK文件!

下载 APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies