Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu.

Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu.

Chengula
Feb 26, 2021
  • 16.1 MB

    Ukuran file

  • Android 5.0+

    Android OS

Tentang Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu.

App bora kwa kujifunza Ufugaji wa Wanyama kitaalamu, ushauri mzuri wa Wataalamu

Jifunze mbinu mbalimbali za ufugaji wa wanyama mbalimbali kitaalamu kupitia App hii bora ya Ufugaji Bora

Kupitia App hii utaweza kujifunza mbinu na kanuni bora na za kitaalamu za ufugaji wa wanyama kama vile Kuku wa aina zote , Ng'ombe, mbuzi kondoo, samaki, bata, Nyuki, nguruwe

Lakini pia Kupitia App utajifunza kuhusu magonjwa mbalimbali na Tiba bora za Magonjwa ya Wanyama

Pia utaweza kupata Ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wataalamu waliobobea zaidi kwenye Ufugaji wa wanyama mbalimbali kutoka vyuo na taasisi za utafiti Tanzania na nje ya Tanzania

Usisahau kutembelea Tovuti yetu kwa anuani ifuatayo ==>>www.ufugaji.co.tz

Tampilkan Selengkapnya

What's new in the latest 1.0

Last updated on 2021-02-27
-Makala bora zaidi za Ufugaji zimeongezwa
-Makala zote za ufugaji bora wa wanyama
-Unaweza kusoma makala hata bila kuwa na Data
-Rangi za kuvutia
-Bug fixed
Tampilkan Selengkapnya

Video dan tangkapan layar

  • Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu. poster
  • Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu. screenshot 1
  • Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu. screenshot 2
  • Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu. screenshot 3
  • Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu. screenshot 4
  • Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu. screenshot 5
  • Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu. screenshot 6

Versi lama Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu.

ikon APKPure

Pengunduhan Super cepat dan aman melalui aplikasi APKPure

Sekali klik untuk menginstal file XAPK/APK di Android!

Unduh APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies