Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi!

Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi!

LovingCompany INC.
Jul 29, 2018
  • 10.0

    1 Reviews

  • 7.2 MB

    File Size

  • Android 4.1+

    Android OS

About Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi!

Pata elimu, Ujuzi na ufundi wa mapenzi katika darasa letu kongwe la malavidavi

Pata elimu, Ujuzi, ufundi na Darasa la mapenzi katika darasa letu kongwe la malavidavi la

Kona Ya Wakubwa --- Wanaume Tuu!

Utapata kusoma na kujua ujanja wote wa kutongoza, kusuka demu, kumzuzua, kumteka hisia na ile mbinu spesheli ya kumkontrol kama rimoti.

Katika kijiwe hichi cha Kona ya wakubwa utapata kujuzwa mambo mengi sana kuhusu maisha na elimu ya mapenzi, jinsi ya kuishi na mpenzi wako.

Jinsi ya Kutongoza mwanamke yeyote yule na asiweze kukukatalia, Jinsi ya kumfikisha mpenzi wako kileleni na kadha wa kadha..

Pia Badhi ya Mafunzo na elimu uatakayoipata ndani ya app hii ni kama:-

Elimu ya Mahusiano na ndoa

Jinsi ya Kuwa mtundu na Kufaidi Utamu wote wa chumbani.

Utaweza Kufahamu Siri zote za Mapenzi,

Utapata Ushauri wa Mapenzi katika nyanja mbali mbali kutoka kwa Wazoefu na maKungwi wa Simulizi nzuri za Mapenzi za Kusisimua.

SMS nzuri na Tamu za Mapenzi

.

Hakika Ukiwa na App Hii ya Kona Ya Wakubwa, Itakufanya ewe kijana kuwa ni mwanaume kamili, mwanaume wa shoka au yuleeeee tunaemuitaga mwanaume Lijari. Na hii itakufanya uone kweli mapenzi ni Mubashara kwani utakuwa umebobea kwa kuwa mjuzi wa Mbinu mbalimbali za mapenzi na za kuboresha mapenzi uliyonayo

Pata Elimu ya Mapenzi katika kijiwe cha Dunia na Sayari ya Mapenzi . Pia ushauri juu ya maswala afya yamepewa kipaumbele katika app yetu pendwa.,

Show More

What's new in the latest 3.0

Last updated on 2018-07-29
English Version of app added
Modified Design
Show More

Videos and Screenshots

  • Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi! poster
  • Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi! screenshot 1
  • Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi! screenshot 2
  • Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi! screenshot 3
  • Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi! screenshot 4
  • Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi! screenshot 5
  • Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi! screenshot 6
  • Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi! screenshot 7

Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi! APK Information

Latest Version
3.0
Category
Education
Android OS
Android 4.1+
File Size
7.2 MB
Safe & Fast APK Downloads on APKPure
APKPure uses signature verification to ensure virus-free Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi! APK downloads for you.

Old Versions of Kona Ya Wakubwa -- Darasa La Mapenzi!

APKPure icon

Super Fast and Safe Downloading via APKPure App

One-click to install XAPK/APK files on Android!

Download APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies