mazoezi ya Kegel kwa wanaume inayohushisha mpangilio wa kula
Hii ni progrmu maalumu ya mazoezi ya Kegel kwa wanaume inayohushisha mazoezi ya kegel na mpangilio wa chakula kwa wanaume, Programu hii itamsaidia mwanaume kutengenza misuli yake ya nyonga, na pia kukuza uwezo wake wa kushiriki tendo la ndoa. Utaweza kuona picha na nakala za mafunzo. Mazoezi yametengenezwa kwa mfumo wa video na maandishi. Utaweza kutumia programu hii kupitia simu yako ya mkononi mahali popote wakati wowote