Moless Cargo

Moless Cargo

Quantum_Labs
Feb 26, 2026
  • 24.5 MB

    Saiz Fail

  • Keselamatan
  • Everyone

  • Android 6.0+

    Android OS

Mengenai Moless Cargo

Lebih baik Tanzania

Ilianzishwa pada tahun 2024, Kargo Tanpa Kargo tidak didaftarkan di Tanzania. Kutoka kwa nyaraka muhimu hadi zawadi za upendo, bidhaa za biashara ndogo hadi mizigo ya makampuni, tuko hapa kuhakikisha kwamba kila kifurushi kinafika kwa wakati, kwa usalama, na kwa gharama nafuu.

Kwa mibofyo michache tu, unaweza kupanga usafirishaji wa vifurushi mahali popote ndani ya Dar es Salaam au kutuma hadi mikoa ya mbali, ukileta watu karibu zaidi, biashara kukua, na fursa kuunganishwa. Iwe ni uwasilishaji wa haraka au uliopangwa, jukwaa letu linakupa urahisi unaohitaji.

Teknologi ya kisasa ndiyo msingi wa huduma zetu. Kufuatilia moja kwa moja, arifa za papo hapo, na mawasiliano rahisi vinahakikisha unajua kila hatua ya safari ya kifurushi chako. Vifurushi vyako vinashughulikiwa kwa uangalifu mkubwa kwa sababu tunafahamu kuwa si mizigo tu—ni ahadi, uhusiano, na nyakati muhimu.

Tunaamini usafirishaji si suala la vifaa pekee—ni kuhusu kuwawezesha watu, kusaidia biashara, na kujenga jamii imara. Kwa Moless Cargo, seperti kifurushi tunachosafirisha ni hatua ya kuunganisha ndoto, kuleta tabasamu, dan kurahisisha maisha kote Tanzania.

Hivyo basi, iwe wewe ni mjasiriamali unayepanua wigo wa biashara yako, rafiki unayetuma zawadi ya upendo, au mtu anayehakikisha kifurushi muhimu kinawasilishwa kwa wakati, Moless Cargo iko hapa kufanya hivyo liwezekane—kwa ufanisi, nalama, na gharama.

Karibu Moless Cargo—ambapo kila kifurushi kinaelezea hadithi, na kila usafirishaji unaacha alama.

—Timu ya Moless

Tunjukkan Lagi

What's new in the latest 1.0.5

Last updated on 2026-02-26
Moless Cargo ilianzishwa Dar es Salaam mwaka 2024 kwa dhamira ya kubadilisha usafirishaji wa vifurushi Tanzania. Kwa mibofyo michache, tumia jukwaa letu kupeleka vifurushi ndani ya Dar es Salaam au mikoa ya mbali kwa haraka, usalama, na gharama nafuu.

Kwa Moless Cargo, usafirishaji ni zaidi ya mizigo—it’s about kuunganisha watu, kusaidia biashara, na kuleta tabasamu.

Karibu Moless Cargo—tunakuletea huduma rahisi na bora za usafirishaji.

—Timu ya Moless
Tunjukkan Lagi

Video dan tangkapan skrin

  • Moless Cargo penulis hantaran
  • Moless Cargo syot layar 1
  • Moless Cargo syot layar 2
  • Moless Cargo syot layar 3
  • Moless Cargo syot layar 4
  • Moless Cargo syot layar 5
  • Moless Cargo syot layar 6
  • Moless Cargo syot layar 7

Maklumat APK Moless Cargo

Versi terkini
1.0.5
Category
Perniagaan
Android OS
Android 6.0+
Saiz Fail
24.5 MB
Available on
Penilaian Kandungan
Everyone
Laporan Keselamatan
Semak Sekarang
Semakan Keselamatan Selesai
Tiada Virus
Tiada Spyware
Tiada Malware
Tiada Virus
Tiada Spyware
Tiada Malware
Nama Pakej:com.moless.cargo
SHA-256:e2e6d08a8842c78c87b47a125f86f50eb20056e35ccac01f50d518e32dcc3e72
SHA-1:f878b7f04854fe70734d9fdd914c7d519e6994bf
Tunjukkan Lagi
Disahkan oleh: APKPURE

Versi lama Moless Cargo

APKPure ikon

Muat Turun Super Pantas dan Selamat melalui Apl APKPure

Satu klik untuk memasang fail XAPK/APK pada Android!

Muat Turun APKPure
thank icon
Kami gunakan kuki dan teknologi yang lain pada laman web ini untuk menambah baik pengalaman anda.
Dengan klik mana-mana pautan pada halaman ini, anda bersetuju dengan Dasar Privasi dan Dasar Kuki kami.
Baca Yang Selanjutnya