”Cheka Point - Vichekesho

Cheka Point - Vichekesho

  • 13.0 MB

    ขนาดไฟล์

  • Android 4.1+

    Android OS

เกี่ยวกับ Cheka Point - Vichekesho

Mtandao Namba ☝️ wa Vichekesho

😂Cheka Point ni mtandao wa kijamii ambao unahusisha Video Fupi📹 pamoja na Picha za Vichekesho😹. Kupitia mtandao huu mtumiaji anaweza kupakua au kuweka video au picha za Vichekesho na moja kwa moja unaweza kupata Point ambazo baadae anaweza kuzibadilisha na kuwa Pesa💰 Taslimi 🤑.

Kupitia Mtandao wa Cheka Point unaweza kuweka Video zote za Vichekesho pamoja na kuelimisha, pia unaweza kupakua video yoyote ile unayo ipenda au unaweza kushirikia na wenzako kupitia kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kama Instagram, Facebook, WhatsApp Status na mitandao mingine.

Mengine Cheka Point

» Utaweza kutengeneza akaunti yenye wasifu wako ambapo ndio utatumia kuweza kupata Cheka Point.

» Utaweza kufollow akaunti ya mtu yoyote ambaye unapenda vichekesho vyake

» Utaweza kuweka Video za kuchekesha, picha za vichekesho na pia unaweza kuweka vichekesho kwa kuandika kwa maandishi.

» Utaweza Kutoa Maoni kwenye Video au picha yoyote

» Utaweza kutafuta video za kuchekesha kwa maneno au jina la mtu

» Utaweza kuweka reaction kwenye picha au video yoyote ya kuchekesha

» Na mambo mengine mengi.....

Bado tunaendelea kuboresha app ya Cheka Point hivyo hakikisha unapakuwa app hii kisha toa maoni yako ili tuweze kuboresha zaidi.

แสดงเพิ่มเติม

What's new in the latest 1.8

Last updated on 2020-07-04
New Redesign
แสดงเพิ่มเติม

วิดีโอและภาพหน้าจอ

  • Cheka Point - Vichekesho โปสเตอร์
  • Cheka Point - Vichekesho ภาพหน้าจอ 1
  • Cheka Point - Vichekesho ภาพหน้าจอ 2
  • Cheka Point - Vichekesho ภาพหน้าจอ 3
  • Cheka Point - Vichekesho ภาพหน้าจอ 4
  • Cheka Point - Vichekesho ภาพหน้าจอ 5
  • Cheka Point - Vichekesho ภาพหน้าจอ 6
  • Cheka Point - Vichekesho ภาพหน้าจอ 7
APKPure ไอคอน

การดาวน์โหลดที่รวดเร็วและปลอดภัยเป็นพิเศษผ่านแอป APKPure

คลิกเพียงครั้งเดียวเพื่อติดตั้งไฟล์ XAPK/APK บน Android!

ดาวน์โหลด APKPure
thank icon
เราใช้คุกกี้และเทคโนโลยีอื่น ๆ บนเว็บไซต์นี้ เพื่อปรับปรุงประสบการณ์การใช้งานของคุณ
การคลิกลิงก์ใด ๆ ในหน้านี้แสดงว่าคุณยินยอมในส่วนของ นโยบายความเป็นส่วนตัว และ นโยบายคุกกี้ ของเรา
เรียนรู้เพิ่มเติม