เกี่ยวกับ Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu.
App bora kwa kujifunza Ufugaji wa Wanyama kitaalamu, ushauri mzuri wa Wataalamu
Jifunze mbinu mbalimbali za ufugaji wa wanyama mbalimbali kitaalamu kupitia App hii bora ya Ufugaji Bora
Kupitia App hii utaweza kujifunza mbinu na kanuni bora na za kitaalamu za ufugaji wa wanyama kama vile Kuku wa aina zote , Ng'ombe, mbuzi kondoo, samaki, bata, Nyuki, nguruwe
Lakini pia Kupitia App utajifunza kuhusu magonjwa mbalimbali na Tiba bora za Magonjwa ya Wanyama
Pia utaweza kupata Ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wataalamu waliobobea zaidi kwenye Ufugaji wa wanyama mbalimbali kutoka vyuo na taasisi za utafiti Tanzania na nje ya Tanzania
Usisahau kutembelea Tovuti yetu kwa anuani ifuatayo ==>>www.ufugaji.co.tz
What's new in the latest 1.0
-Makala zote za ufugaji bora wa wanyama
-Unaweza kusoma makala hata bila kuwa na Data
-Rangi za kuvutia
-Bug fixed
ข้อมูล Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu. APK
Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu. รุ่นเก่า
Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu. 1.0

การดาวน์โหลดที่รวดเร็วและปลอดภัยเป็นพิเศษผ่านแอป APKPure
คลิกเพียงครั้งเดียวเพื่อติดตั้งไฟล์ XAPK/APK บน Android!