關於Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu.
App Bora kwa kujifunza Ufugaji wa Wanyama kitaalamu,ushauri mzuri wa Wataalamu
Jifunze mbinu mbalimbali za ufugaji wa wanyama mbalimbali kitaalamu kupitia App hii bora ya Ufugaji Bora
Kupitia App hii utaweza kujifunza mbinu na kanuni bora na za kitaalamu za ufugaji wa wanyama kama vile Kuku wa aina zote , Ng'ombe, mbuzi kondoo, samaki, bata, Nyuki, nguruwe
Lakini pia Kupitia App utajifunza kuhusu magonjwa mbalimbali na Tiba bora za Magonjwa ya Wanyama
Pia utaweza kupata Ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wataalamu waliobobea zaidi kwenye Ufugaji wa wanyama mbalimbali kutoka vyuo na taasisi za utafiti Tanzania na nje ya Tanzania
Usisahau kutembelea Tovuti yetu kwa anuani ifuatayo ==>>www.ufugaji.co.tz
最新版本1.0的更新日誌
Last updated on 2021年02月27日
-Makala bora zaidi za Ufugaji zimeongezwa
-Makala zote za ufugaji bora wa wanyama
-Unaweza kusoma makala hata bila kuwa na Data
-Rangi za kuvutia
-Bug fixed
-Makala zote za ufugaji bora wa wanyama
-Unaweza kusoma makala hata bila kuwa na Data
-Rangi za kuvutia
-Bug fixed
Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu. APK信息
在APKPure安全快速地下載APK
APKPure 使用簽章驗證功能,確保為您提供無病毒的 Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu. APK 下載。
Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu.歷史版本
Ufugaji Bora - Jifunze mbinu za ufugaji kitaalamu. 1.0
16.1 MB2021年02月27日