AFYA NA BF SUMA

AFYA NA BF SUMA

AppyNicky DEV
Dec 28, 2019
  • 3.9 MB

    ফাইলের আকার

  • Android 4.1+

    Android OS

AFYA NA BF SUMA সম্পর্কে

B-Bright F-Future S-Superior U -Unique M -manufacturer of A -America

HIZI NI BIDHAA ZA KUTOKA KAMPUNI YA MAREKANI

BF SUMA

Maana ya BF SUMA

B-Bright

F-Future

S-Superior

U -Unique

M -manufacturer of

A -America

1993- bfsuma walianzia Hongkong {China} {kama kampuni ya kuzalisha madawa}ya mifupa na viungo {bones &Joints}.

1995 - kampuni ilipanuka na kufungua Marekani katika Jiji LA Gharama kuishi Los Angeles na kuweka kiwanda Cha Kuzalisha Virutubisho {food Supplement}.

2000:- kampuni ilipewa Vibali na Vyeti Vya kutambua Ubora wao kama :- G.M.P {Good Manufacturing Practice} na FDA {Food and Drugs Adminstration},,baadae kampuni tena Ikaendelea Pata Vibali kama G.L.P {Good Laboratory Practise } na Halal:- kibali cha utambuliz kwa jamii ya kiislamu na imani kuwa halali kwa matumiz..```

2004:- Waliweza kufungua soko lao Africa kupitia nchi iitwayo Benin

2011:- Kampuni ilisogea hadi nchi ya Kenya na kutua Afrika Mashariki...ambako imezaa vyema na kustawil Sana hadi sasa. Kumbuka kampuni hii imeweza kusajiliwa kisheria na kufanikiwa kupata kibali cha KEBS

2012 :- Waliweza kuingia Tanzania na kusajiliwa kisheria na kufanikiwa kupata kibali cha TFDA,makao makuu ya TANZANIA Yako Dar MIKOCHENI ambapo walinunua jengo ..

2013:- waliweza kuingia Uganda,Nigeria ,Zambia na wanaendelea kupanua masoko yao katika nchi zingine za Africa.

Bfsuma Africa ,wako na wanachama au wasambazaji wasio pungua 50,000 na sasa ni zaidi.

Bidhaa Za BFsuma

👉 Mifupa na Viungo

1.Gluzojoint Capsule

2.Zaminocal Capsule

3.Arthroxtra Tablets

4.Arthrostreth Tablets

5. Dr Cow Calcium Milk Candy.

👉 Bidhaa za Kuongeza kinga za Mwili na kutibu kansa.

1. Pure & Broken Ganoderma Spores.

2. Refined Yunzhi Capsule.

3. Spirulina Capsules

IMMUNE COFFEE

4 in 1 Reish Coffee

4 in 1 Ginseng Coffee

4 in 1 Cordyceps Coffee

👉 Bidhaa za Mmeng'enyo Wa Chakula Tumboni na Kutibu Vidonda Vya Tumbo.

1.Constirelax Solution

2.antidiarr Pills.

3.Novel depile Capsules.

👉 Bidhaa za Kupunguza Unene.

Xlim Express Capsules/Coffee.

Xlim Constant Capsules/Coffee.

👉 Bidhaa(dawa) za Kuongeza hamu/ Nguvu za Tendo LA Ndoa na Kutibu matatizo yote ya kizazi na tezi dume.

1.Manxtra tablets

2.Xpower man Capsules

3.Prostatrelax Capsules.

👉Bidhaa za Kutibu maradhi ya moyo

(pressure,kisukari,kupooza,mzunguko Wa damu, kupunguza kolesto, kumbukumbu,macho n.k)

"Cardiovascular health"

Micro2 Cycle Tablets

Cerebrain Tablets

Glugogone capsules

Pressure Free Tea.

👉Bidhaa za Matumiz Binafsi na Usafi/ Personal Care.

Sanitary Pads

Night Sanitary Pads.

Panty liner.

Femicare

Sabuni

Anatic herbal essence soap

Bf Suma ndio wanaoongoza kwa Utafit

Maabara, kuzalisha na kusambaza Bidhaa asili za thamani na viwango vya kimataifa juu na matumiz i ya tecknolojia

Bora za kisasa isiyo haribu au uhasilia Nazo ni

👉Amino Acid Chelation Technology (AAC).

👉 Combine Cryo-Enzym & Dua - Micronization Technology.

👉 Nano- Transderm Technology.

👉Macroporous Absorption Resin Technology.

👉Membrane Tech..

আরো দেখান

What's new in the latest 1.0

Last updated on 2019-12-29
BF SUMA SWAHILI
আরো দেখান

ভিডিও এবং স্ক্রিনশট

  • AFYA NA BF SUMA পোস্টার
  • AFYA NA BF SUMA স্ক্রিনশট 1
  • AFYA NA BF SUMA স্ক্রিনশট 2
  • AFYA NA BF SUMA স্ক্রিনশট 3
  • AFYA NA BF SUMA স্ক্রিনশট 4
  • AFYA NA BF SUMA স্ক্রিনশট 5

AFYA NA BF SUMA এর পুরানো সংস্করণ

APKPure আইকন

APKPure অ্যাপের মাধ্যমে অতি দ্রুত এবং নিরাপদ ডাউনলোড করা হচ্ছে

Android-এ XAPK/APK ফাইল ইনস্টল করতে এক-ক্লিক করুন!

ডাউনলোড করুন APKPure
thank icon
আমরা আপনার ব্যবহারকারীর অভিজ্ঞতা বাড়ানোর জন্য এই ওয়েবসাইটে কুকি এবং অন্যান্য প্রযুক্তি ব্যবহার করি।
এই পেজে কোনো লিঙ্কে ক্লিক করে আপনি আমাদের Privacy Policy and কুকি নীতিতে আপনার সম্মতি দিচ্ছেন।
আরো জানুন