Sobre este Afro Gospel Music
Ouça e baixe a música gospel sem parar Todos os dias.
Afro Gospel Music ni App ya kisasa kabisa na yenye mfumo mzuri sana.
App hii inakuwezesha kusikiliza na kupakua muziki wa injili bila kikomo kila siku.
Zifuatazo ni baadhi ya sifa za App yetu.
1. Music Categories
2. Buzz -- Kwa ajili ya habari za waimbaji mbalimbali wa muziki wa injili lakini pia unaweza kutangaza kazi yako kupitia sehemu hii.
3. Publish Music -- Hapa mtumiaji hususani mwimbaji wa muziki wa injili anaweza kupublish wimbo wake bure kabisa na utaonekana kwenye list.
4. Push notification -- Hapo kila wimbo mpya ukipakiwa utapata ujumbe.
5. Music Player -- Hii itakuwezesha kuufahamu wimbo kabla ya kupakua
6. Music Search: Una search wimbo kupitia jina lake na utaupata moja kwa moja kupitia App yetu.
7. Nyingine nyingi zipo na pia maboresho yanaendelea kufanyika.
Pakua leo ujionee kazi nzuri ya Tanzanite Technology.
Novidades em 1.0 mais recente
Informações sobre Afro Gospel Music APK

Baixar de Forma Rápida e Segura via APKPure App
Um clique para instalar arquivos XAPK/APK no Android!