Gospo Mpya - Nyimbo za Dini
6.0
Android OS
Sobre este Gospo Mpya - Nyimbo za Dini
Pakua Nyimbo Mpya za Dini Bure.
Sikiliza na Download Audio na tazama video (online and offline) za nyimbo mbalimbali za injili kupitia application hii.
Application hii imebeba nyimbo na video mbalimbali za wasanii maarufu, nyimbo za zamani na pia nyimbo za sasa ,tenzi za rohoni, nyimbo za kusifu na kuabudu, Nyimbo za christmas,nyimbo za katoliki, nyimbo za kisabato na nyimbo mbalimbali za wasanii ndani na nje ya africa Mashariki
Gospo Mpya ni application ni ambayo kuna nyimbo za waimbaji Mbali Mbali kama vile Bahati Bukuku, Martha Mwaipaja, Rose Mhando, Christina Shusho, Goodluck Gozbert, Boni Mwaitege, Komando wa yesu, Dr Sarah K, christopher Mhangila, Mch Abiud, Dr. Ipyana,Atosha kisava,Medrick Sanga,Kwaya ya mtakakifu kizito, kwanya ya mtakatifu cesilia, Pascal Cassian, mtoto Yohana Antony, Angel Bernard, Mercy Chinwo,Mercy Masika,Joel Lwanga, Sinach, Ada,Solmon Mkubwa, walter Chilambo, John lisu, Paul Clement, Ambasadors Choirs, Ambwene Mwasongwe, Beatrice Mwaipaja, Pastor Antony Msembi, Enock Jonas,Jenifer Mgendi, Jeni Misso, Joseph Nyuki, makoma, Amoni Kilailo, Upendo Nkone, Paul mwai, praise and worship songs (nyimbo za kusifu na kuabudu)
App hii imeweka nyimbo za katoliki katika makundi haya
-NYIMBO ZA PASAKA
-NYIMBO ZA NOELI
-NYIMBO ZA ROHO MTAKATIFU
-NYIMBO ZA KWARESMA
-NYIMBO ZA EKARISTI
-NYIMBO ZA SIFA NA SHUKRANI
-NYIMBO ZA SADAKA
-NYIMBO ZA BIKIRA MARIA
Ili kukurahisishia kusikiliza nyimbo kwa mpangilio mzuri
Pia app hii ina nyimbo mbalimbali za kisabato kutoka kwaya maarufu kama
ambassadors of christ, Zabron Singers (mkono wa bwana ), Njiro SDA, Burka SDA, Kurasini SDA, Redemption singers n.k
pia na nyimbo za kristo.
Novidades em 1.0 mais recente
Informações sobre Gospo Mpya - Nyimbo za Dini APK
Baixar de Forma Rápida e Segura via APKPure App
Um clique para instalar arquivos XAPK/APK no Android!