Sobre este Mapishi ya Vyakula Mbalimbali
Jifunze mapishi ya vyakula mbalimbali kwa kiswahili
Mapishi ya Vyakula mbalimbali App, ni App bora ya mapishi inayokupa Fursa ya kujifunza aina zote za mapishi ya nyumbani kwa lugha ya kiswahili. Ukiwa na App hii ya Mapishi App, pia utaweza kufahamu mapishi mapya yanayotokea kila siku tanzânia pamoja na nchi za nje. Mapishi ya vyakula App imetengenezwa kwa ajili ya mtu yeyote mwenye elimu ya mapishi au asiekua na elimu hata kidogo kumuwezesha kupika chakula kitamu. Mapishi App, pia ina masomo ya vyakula kama mapishi ya Al hidaya, mapishi ya zanzibar, mapishi ya cake n.k
Unatamani kuwa mpishi mzuri - base tumia App hii ya Mapishi Ya Vykula mbalimbali.
********
Mapishi ya vyakula mbalimbali App, é um aplicativo de receitas deliciosas africanas (Tanzânia) que fornece passo a passo sobre como preparar e cozinhar comida deliciosa para família ou negócios. Você não precisa ser um chef profissional para usar este aplicativo. O aplicativo é feito para iniciantes e chefs experientes.
Novidades em 1.0 mais recente
Informações sobre Mapishi ya Vyakula Mbalimbali APK
Versões Antigas de Mapishi ya Vyakula Mbalimbali
Mapishi ya Vyakula Mbalimbali 1.0
Baixar de Forma Rápida e Segura via APKPure App
Um clique para instalar arquivos XAPK/APK no Android!