Über HABARI ZA SASA
Mahusiano hunogeshwa na mapenzi mazuri yanayo taridadi na sms nzuri kama zetu
HIVI SASA MANENO YANAONYESHA NA KILA KITU KIPO SAWA UPDATE APP YETU NA DOWNLOAD, KILA KITU KIPO SAWA
MANENO MATAMU TUNAYO SISI, TUMESOGEZA meseji ZOTE UNAZOHITAJI ILI PENZI LAKO LIBAMBE. Unataka kuwa na penzi kama la billnass na Nandy au zaidi, Basi app yetu itakusaidia
Mfano mmoja wapo: Ninakosa nyakati bora zaidi tulipozoea kucheka na kutazama sinema pamoja. Rudi nyumbani, kwa maana moyo wangu ni tupu bila wewe. Samahani kwa makosa niliyofanya.
Nilikosea wakati huu. Sikuwahi kukusudia iwe hivyo. Mpendwa, nisamehe makosa yangu. Nisamehe Makosa Yangu.
Siwezi kuendelea hivi. Wewe ni jambo zuri zaidi kutokea kwangu katika maisha yangu yote. Samahani kwa kukusababishia maumivu makali. Tafuta nafasi moyoni mwako ili unisamehe.
Huo ni mfano tu, Humu utakuta meseji mbalimbali kulingana na haja yako kama vile:
ASUBUHI NJEMA
GEBURTSTAGS-SMS
ICH VERMISSE DICH
KUTONGOZA
MAHABA
MCHANA MWEMA
MSAMAHA
Msamaha SMS
ZITATE
USIKU MWEMA
Karibu kushare App ist noch keine Ufuurahie in wengine!
What's new in the latest 3.0.0
HABARI ZA SASA APK -Informationen
Alte Versionen von HABARI ZA SASA
HABARI ZA SASA 3.0.0
HABARI ZA SASA 2.9.0
HABARI ZA SASA 2.4
HABARI ZA SASA 2.1

Superschnelles und sicheres Herunterladen über die APKPure-App
Ein Klick zur Installation von XAPK/APK-Dateien auf Android!