Über Mwongozo wa Bembea ya Maisha
Utangulizi, jalada, anwani, maudhui, wahusika, mbinu za usemi, maswali n.k.
Madhumni ya kuandika mwongozo huu ni kumrahisishia mwalimu na mwanafunzi kazi na kumpa mwelekeo unaofaa. Mwongozo huu umeeangazia masuala ibuka katika utahini wa karatasi ya tatu ya kiswahili katika mtihani wa KCSE.
Kitabu hiki kimeangazia vipengele vya uandishi wa Fasihi andishi. kv Mtindo, Dhamira, Wahusika, Muundo, Maudhui, Lugha n.k
Tamthilia ya 'Bembea ya Maisha' ni Kitabu ambacho kimeandikwa na Mwandishi shupavu na mashuhuri nchini kenya Timothy Arege ambaye pia aliandika Tamthilia ya 'Mstahiki Meya.' n.k
Kontaktinformationen:
Tel: +254718055483
E-Mail-Adresse: mwalimusifuna@gmail.com
WhatsApp: https://api.whatsapp.com/send?phone=+254718055483
Facebook-Seite: https://www.facebook.com/profile.php?id=100088220378456
YouTube-Kanal: https://youtube.com/@mwalimu_Sifuna
What's new in the latest 10.10
Android 13 support
Mwongozo wa Bembea ya Maisha APK -Informationen
Alte Versionen von Mwongozo wa Bembea ya Maisha
Mwongozo wa Bembea ya Maisha 10.10
Mwongozo wa Bembea ya Maisha 7.9
Mwongozo wa Bembea ya Maisha 6.5
Mwongozo wa Bembea ya Maisha 5.4
Mwongozo wa Bembea ya Maisha Alternative
Superschnelles und sicheres Herunterladen über die APKPure-App
Ein Klick zur Installation von XAPK/APK-Dateien auf Android!