TatuaMzuka

TatuaMzuka

Evance Jay E
Oct 28, 2018
  • 3.0 MB

    Dateigröße

  • Android 4.1+

    Android OS

Über TatuaMzuka

Pata namba tatu za ushindi katika droo ya Tatu Mzuka Tansania.

TatuaMzuka inakupa nafasi ya kujishindia mamilioni ya TatuMzuka kwa kukupatia namba inayoweza kushinda.

Ukiwa na App Hii unaweza ukafanya haya yafuatayo:

👉🏿 Unaweza ukapata namba ya ushindi ya droo za TatuMzuka

👉🏿 Unapata matokeo ya droo za TatuMzuka

👉🏿 Unapata utabiri wa namba tatu za TatuMzuka

👉🏿 Unapata uwezo wa kuona washindi wa droo za TatuMzuka

👉🏿 Unapata uwezo wa kuhakiki namba yako ya bahati dhidi ya namba zilizoshinda

👉🏿 Unaweza ukachat na watu zaidi ya 50.000 na kujadili masuala mbali mbali yahusu Tatumzuka

Jinsi ya kuitumia

👉Kwanza Download-Anwendung ya Tatua Mzuka hapa

👉 Kisha fungua Anwendung yako, utaona maelezo ya kutumia Anwendung hii pamoja na kitufe chekundu na maandishi meupe kimeandikwa "BOFYA HAPA"

Bofya hicho kitufe na subiria wakati namba ina tengenezwa.

Baada ya muda namba tatu zitatokea pamoja na asilimia ngapi hio namba inaweza ikaibuka na ushindi.

👉 Ndani ya App utapata maelekezo zaidi juu ya namna unaweza kuitumia App hii.

TatuaMzuka, Ushindi ni Lazima.

Mehr anzeigen

What's new in the latest 3.2.1

Last updated on 2018-10-28
🔔- Removed News Page.
🔔- Improved Push Notifications.
🔔- Improved Chat & Messaging.
🔔- Improved Ad Experience.
🔔- Improved User Experience.
🔔- Code & UI Improvements.
Mehr anzeigen

Gameplay und Screenshots

  • TatuaMzuka Plakat
  • TatuaMzuka Screenshot 1
  • TatuaMzuka Screenshot 2
  • TatuaMzuka Screenshot 3
  • TatuaMzuka Screenshot 4
  • TatuaMzuka Screenshot 5

Alte Versionen von TatuaMzuka

APKPure Zeichen

Laden Sie die APKPure-App herunter, um mehr Spielbelohnungen und Rabatte zu erhalten

Ein Klick zur Installation von XAPK/APK-Dateien auf Android!

Download APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies