Katekisimu Ndogo

Katekisimu Ndogo

AlberaInfoTech
13/11/2018
  • 2.0 MB

    Tamaño de archivo

  • Android 4.0.3+

    Android OS

Acerca del Katekisimu Ndogo

Katekisimu Ndogo Ya Kanisa katoliki

Katekisimu Ndogo Ni msingi wa mafundisho ya imani ya Kanisa Katoliki,

       App hii imeandaliwa kulingana na Katekisimu ndogo ya Kanisa Katoliki, Jimbo kuu la Songea chapisho la mwaka 1998.

        Imegawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadhaa vyenye maswali na majibu ambayo ni msingi katika kujifunza imani ya Kanisa katoliki,

zaidi ikihusianisha mafundisho yake na neno la Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu:

1: SEHEMU YA KWANZA: IMANI

     - Kipengele hiki kinahusisha Kanuni ya Imani ya Kanisa Katotiki amapo pia kimegawanyika katika sehemu kuu 12 ambazo kila moja wapo ndani yake kuna maswali na

     majibu kuhusiana na kila kipendele kwenye kanuni ya imani.

1.0: NASADIKI

        1.1: KWA MUNGU BABA MWENYEZI

        1.2: MUUMBA MBINGU NA DUNIA

        1.3: YESU KRISTU MWANAE WA PEKEE BWANA WETU ALIYETUNGWA KWA ROHO MTAKATIFU ​​AKAZALIWA NA BIKIRA MARIA

        1.4: AKATESWA KWA MAMLAKA YA PONSIO PILATO AKATESWA AKAFA AKAZIKWA AKASHUKIA KUZIMU SIKU YA TATU AKAFUFUKA KATIKA WAFU

        1.5: AKAPAA MBINGUNI AMEKAA KUUME KWA MUNGU BABA MWENYEZI

        1.6: TOKA HUKO ATAKUJA KUWAHUKUMU WAZIMA NA WAFU

        1.7: NASADIKI KWA ROHO MTAKATIFU

        1.8: KANISA TAKATIFU ​​KATOLIKI

        1.9: USHIRIKA WA WATAKATIFU

        1.10: MAONDOLEO YA DHAMBI

        1.11: UFUFUKO WA MIILI NA UZIMA WA MILELE

2: SEHEMU YA PILI: SAKRAMENTI

-Sehemu hii inatoa majibu ya maswali kuhusu Liturujia, Neema, Visakramenti, Sakramenti

umuhimu wa Sakramenti, nani na wakati gani anatakiwa kupokea Sakramenti husika. Sehemu hii pia imegawanyika katika vipengele kama ifuatavyo:

        2.0: LITURJIA

        2.1: NEEMA

        2.2: SAKRAMENTI

        2.3: VISAKRAMENTI

        2: 4: SALA

3: SEHEMU YA TATU: AMRI

Sehemu hii ya Tatu inahusisha uchambuzi wa Amri zote za Mungu na za kanisa, pia imejikita katika kutoa majibu kuhusu masuala y fadhila, aina za fadhila, dhambi aina za dhambi, vishawishi na asili zake

na pia majibu kuhusu dhamiri. Nayo imegawanyika katika sehemu zifuatazo.

3.0: AMRI KUU

       3.1: AMRI KUMI ZA MNGU

       3.2: AMRI ZA KANISA

       3.3: FADHILA

       3.4: DHAMIRI

       3.5: DHAMBI

       3.6: VISHAVISHI

4: SEHEMU YA NNE: SALA MUHIMU

Sehemu hii ya nne imegawanyika katika vipengele saba ambavyo vinahusisha zaidi aina mbalimbali za sala kwa wakatoliki ambao ni msingi wa maisha na shughuli zao za kila siku,

 namna ya kusali, wakati wa kusali ikiwa na lengo la kukufanya umshirikishe Mungu na kuwa karibu naye kwa kila jambo ufanyalo kwa siku nzima.

        4.0: SALA ZA ASUBUHI

        4.1: SALA YA JIONI

        4.2: SALA KABLA YA MAFUNDISHO

        4.3: SALA WAKATI WA KUUNGAMA

        4.4: SALA ZA JIONI

        4.5: SALA ZA KOMUNYIO

        4.6: SALA KWA BIKIRA MARIA

Mostrar más

Novedades más recientes 1.0

Last updated on 2018-11-13
Katekisimu Ndogo Ni msingi wa mafundisho ya imani ya Kanisa Katoliki, App hii imeandaliwa kulingana na Katekisimu ndogo ya Kanisa Katoliki , Jimbo kuu la Songea chapisho la mwaka 1998.
Imegawanyika katika sehemu kuu nne ambapo kila moja inavipengele kadhaa vyenye maswali na majibu ambayo ni msingi katika kujifunza imani ya Kanisa katoliki ,
zaidi ikihusianisha mafundisho yake na neno la Mungu kutoka katika vitabu mbalimbali vya Biblia takatifu:
Mostrar más

Vídeos y capturas de pantalla

  • Katekisimu Ndogo Poster
  • Katekisimu Ndogo captura de pantalla 1
  • Katekisimu Ndogo captura de pantalla 2
  • Katekisimu Ndogo captura de pantalla 3
  • Katekisimu Ndogo captura de pantalla 4
  • Katekisimu Ndogo captura de pantalla 5
  • Katekisimu Ndogo captura de pantalla 6
  • Katekisimu Ndogo captura de pantalla 7

Información de Katekisimu Ndogo APK

Última Versión
1.0
Categoría
Educación
Android OS
Android 4.0.3+
Tamaño de archivo
2.0 MB
Desarrollador
AlberaInfoTech
Descargas seguras y rápidas de APK en APKPure
APKPure utiliza verificación de firmas para garantizar descargas de Katekisimu Ndogo APK libres de virus para ti.

Versiones Antiguas de Katekisimu Ndogo

APKPure icono

Descarga rápida y segura a través de APKPure App

¡Un clic para instalar archivos XAPK/APK en Android!

Descargar APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies