Descargas seguras y rápidas de APK en APKPure
APKPure utiliza verificación de firmas para garantizar descargas de Tenzi Za Rohoni APK libres de virus para ti.
Aplicación Tenzi za rohoni inakuletea nyimbo za tenzi 138 popote ulipo na wakati wowote
App hii ina nyimbo za kumsifu Mungu 138 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni.unaweza kuzifurahia nyimbo hizi za injili bila kuwa na intaneti yaani "Offline".
Yaliyomo:
★ Tenzi za Rohoni ina nyimbo za tenzi 138 za kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.
★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)
★Mpangilio kabambe kurahisisha utafiti wa tenzi.
★ Kuongeza ukubwa wa maandishi
★ Tenzi za rohoni ina nyimbo kama:-hunificha,nina haja nawe,habari njema,cha kutumaini sina,mwamba wenye imara,kuoshwa kwa damu.
¡Un clic para instalar archivos XAPK/APK en Android!