À propos de Mvuvi Game
Weka game hili kwenye simu yako ucheze na kuongeza siku za kuishi duniani
Game la mvuvi ni game mahususi la kukuliwaza ukiwa na mawazo yanayosababishwa na sababu mbalimbali kama kuachwa na mpenzi wako, kukosa pesa za kumudu mahitaji mbali mbali, Kufeli mtihani, kukosa kazi, kufeli interview na stress zozote unazopata zitatoka.
Game hili ni rahisi sana kucheza na utapenda kucheza kila siku. Cheza kila siku game hili na usitoe kwenye simu yako kwani muda wowote tutaanzisha mashindani atakayepata point za juu zaidi kuliko wote atapata donge nono kwa Mpesa au Tigo Pesa.
What's new in the latest 1.0
Last updated on Sep 9, 2017
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Informations Mvuvi Game APK
Téléchargements APK sûrs et rapides sur APKPure
APKPure utilise la vérification de la signature pour garantir des téléchargements de Mvuvi Game APK sans virus pour vous.

Téléchargez l'application APKPure pour obtenir plus de récompenses et de réductions de jeu
Un clic pour installer les fichiers XAPK/APK sur Android!