RFI Kiswahili

RFI Kiswahili

  • 38.0 MB

    Ukuran file

  • Android 4.1+

    Android OS

Tentang RFI Kiswahili

Resmi aplikasi berita RFI Swahili

App rasmi ya kupata Habari kutoka RFI Kiswahili, inatoa fursa ya kufahamu Mukhtasari wa Habari na vipindi mbalimbali. Unaweza kuvisikiliza vipindi mbalimbali bila malipo kupitia mfumo wa audio player au kupiga simu kwa namba maalum (Unaweza kutozwa fedha, jiridhishe na mtandao wako wa simu).

Pakua BILA MALIPO app hii sasa hivi ili kusikiliza Habari za Kimataifa kutoka RFI Kiswahili.

- MATANGAZO ya moja kwa moja kuhusu ripoti za RFI Kiswahili.

- Mfumo huu unakuwezesha kusikiliza Habari mbalimbali kwa muda uutakao.

- Mfumo wa sauti, unaokuwezesha kupiga simu

- Uchaguzi wa Bandwidth unakuwezesha kuokoa gharama za data

- Kuwasiliana kwa ujumbe mfupi kwa muda wa saa 24 kila wiki.

RFI ni Redio ya Kimataifa inayotangaza kote duniani na kukuletea matukio yanayotokea mara kwa mara na inapatikana kupitia (Tovuti, application za simu n.k). lkiwa na kikosi cha watalaam ambao ni Wanahabari na Wahariri jijini Paris, inategemea pia maripota kote duniani kufanikisha matangazo ya moja kwa moja, Taarifa za Habari na Makala, wakiwa na lengo la kuwasaidia wasikilizaji kuielewa dunia.

AudioNow® Digital inaongoza katika kukuletea, apps kwa lugha mbalimbali kupitia simu kwa ajili ya watangazaji wa redio duniani.

Tampilkan Selengkapnya

What's new in the latest 4.2.3

Last updated on Mar 24, 2019
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Tampilkan Selengkapnya

Video dan tangkapan layar

  • RFI Kiswahili poster
  • RFI Kiswahili screenshot 1
  • RFI Kiswahili screenshot 2
  • RFI Kiswahili screenshot 3
  • RFI Kiswahili screenshot 4

Versi lama RFI Kiswahili

RFI Kiswahili 4.2.3

38.0 MBMar 24, 2019
Unduh

RFI Kiswahili 4.1.9

37.9 MBDec 31, 2018
Unduh

RFI Kiswahili 4.1.7

34.5 MBDec 9, 2018
Unduh

RFI Kiswahili 4.0.9

32.9 MBJul 30, 2018
Unduh
ikon APKPure

Pengunduhan Super cepat dan aman melalui aplikasi APKPure

Sekali klik untuk menginstal file XAPK/APK di Android!

Unduh APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies