Ajira.go.tza App के बारे में
Unatafuta kazi serikalini weka app hii usipitwe na nafasi za kazi zinazotangazwa
App ya ajira.go.tza ni muhimu sana kwa vijana tunaotafuta kazi, Ukiweka app hii kwenye simu yako utajulishwa kila nafasi za kazi zinapowekwa kwenye mtandao wa serikali wa ajira.go.tz na mitandao mingine ya watu binafsi inayowekwa taarifa za nafasi za kazi za kila siku
Hutachelewa tena kutuma maombi kwa kuchelewa kupata taarifa za nafasi za kazi serikalini. Pia utaweza kupata taarifa za usaili kwa haraka na kuanza kujiandaa kwa maswali yatakayoulizwa ili uweze kufaulu usaili wako na utajulishwa kwa haraka siku matokeo ya usaili yakitoka.
App hii ina kipengele cha kutoa mafunzo ya jinsi ya kujibu maswali ya usaili na mafunzo mengine muhimu kwa vijana tunaotafuta ajira.
kumbuka app hii haimilikiwi na secretariat ya ajira tazania wala tovuti yoyote ya utumishi. App hii pia haimilikiwi na mfanyakazi wa secretariat ya ajira au mfanyakazi wa utumishi.
App hii inamilikiwa na Kijana wa kitanzania mwenye mapenzi mema na maendeleo ya vijana kwa lengo la kuwawezesha waweze kupata taarifa kwa haraka pindi zikiwekwa kwenye tovuti ya serikali ya ajira.go.tz. Haturekebishi , hatuongezi wala kupunguza chochote kilichowekwa kwenye mtandao wa ajira.go.tz na mitandao mingine ya nafasi za kazi
Vipengele vingine vilivyomo kwenye app kama Elimu juu ya usaili vinaandaliwa na mmiliki wa app hii na sio wafanyakazi wa ajira.go.tz au mmiliki wa mtandao wowote wa nafasi za kazi tanzania
What's new in the latest 1.0
Kumbuka app hii haimilikiwi na secretariat ya ajira Tanzania wala mtumishi wa secretariat hiyo.
Ajira.go.tza App APK जानकारी
Ajira.go.tza App के पुराने संस्करण
Ajira.go.tza App 1.0

APKPure ऐप के माध्यम से सुपर तेज़ और सुरक्षित डाउनलोडिंग
एंड्रॉइड पर XAPK/APK फ़ाइलें इंस्टॉल करने के लिए एक-क्लिक करें!