Kinga ya Muislamu

Kinga ya Muislamu

Mahmoud Al-Asmi
Aug 26, 2015
  • 668.3 KB

    फाइल का आकार

  • Android 1.6+

    Android OS

Kinga ya Muislamu के बारे में

मुस्लिम संरक्षण। दुआ और Adhkaar।

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمن الرَّحيم

Kwa Jina La Mwenyezi Mungu Mwingi Wa Rehema (Duniani) Mwenye Kurehemu (Akhera)

Hakika sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, tunamsifu, tunamuomba msaada na tunamuomba maghfirah, tunamuomba Atuhifadhi na shari za nafsi zetu, na maovu ya matendo yetu. Anayemuongoza Mwenyezi Mungu hapana wa kumpoteza, na Anayempoteza, hapana wa wa kumuongoza.  Nakiri kwamba, hapana apasaye kuabudiwa ila Mwenyezi Mungu, hali ya kuwa peke Yake, hana mshirika, na ninakiri kwamba Muhammad ni mja Wake na ni Mtume Wake. Mwenyezi Mungu Amrehemu na Awarehemu jamaa zake na Maswahaba zake na wanaowafuata hao kwa wema mpaka siku ya malipo na Amsalimishe kwa amani nyingi.

Baada ya yaliyotangulia huu ni ufupi (Mukhtasar) wa kitabu kiitwacho “HISWN AL-MUSLIM MIN ADHKAAR AL-KITAAB WA SUNNAH”

Ninamuomba Mwenyezi Mungu kwa majina Yake mazuri, na sifa Zake zilizo juu, Ajaaliye kazi hii kuwa, imesafika  lengo lake, kwa kutaka radhi zake Mwenyezi Mungu Mtukufu, na Aninufaishe kwa hayo katika uhai wangu huu, na baada ya kufa, na Amnufaishe atakayekisoma, kukichapisha, au aliyekuwa ni sababu ya kukitawanya, hakika  Yeye  Mwenyezi Mungu Ndiye  Muweza.

Mwenyezi Mungu Amrehemu Mtume wetu Muhammad صلى الله عليه وسلم na Aali zake na Maswahaba wake na wanaowafuata hao, kwa wema mpaka siku ya malipo.

अधिक दिखाएं

What's new in the latest 1.0

Last updated on Aug 26, 2015
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
अधिक दिखाएं

वीडियो और स्क्रीनशॉट

  • Kinga ya Muislamu पोस्टर
  • Kinga ya Muislamu स्क्रीनशॉट 1
  • Kinga ya Muislamu स्क्रीनशॉट 2
  • Kinga ya Muislamu स्क्रीनशॉट 3
  • Kinga ya Muislamu स्क्रीनशॉट 4
  • Kinga ya Muislamu स्क्रीनशॉट 5
  • Kinga ya Muislamu स्क्रीनशॉट 6

Kinga ya Muislamu के पुराने संस्करण

APKPure आइकन

APKPure ऐप के माध्यम से सुपर तेज़ और सुरक्षित डाउनलोडिंग

एंड्रॉइड पर XAPK/APK फ़ाइलें इंस्टॉल करने के लिए एक-क्लिक करें!

डाउनलोड APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies