Nesi Mapenzi के बारे में
Nesi Mapenzi inaongoza katika kufundisha kila kitu kuhusu mapenzi
Nesi Mapenzi kwa mara ya kwanza imetengeneza app ili ikusaidie kurahisisha usomaji wako wa blog yetu ya kijanja.
Utapata kusoma na kujua ujanja wote wa kutongoza, kusuka demu, kumzuzua, kumteka hisia na ile mbinu spesheli ya kumkontrol kama rimoti.
Machapisho yetu utayasoma hata kama umeishiwa na bundles so usiwe na wasiwasi wowote. Wewe ni kusoma maujanja na kuyatumia kama silaha kwa mwanamke.
**Features unique ambazo utazipata kwa app yetu***
1. Wasiliana na admin wa Nesi Mapenzi moja kwa moja katika chat
2. Tafuta mpenzi wako na social site yetu ya Wodi Mapenzi
3. Download ama stream podcast direct kwa simu yako tukijadili maswala ya kutongoza
4. Badilisha mwonekano wa app kama vile unavyotaka wewe.
What's new in the latest 2.2.7
Nesi Mapenzi APK जानकारी
Nesi Mapenzi के पुराने संस्करण
Nesi Mapenzi 2.2.7
Nesi Mapenzi 2.2.6
APKPure ऐप के माध्यम से सुपर तेज़ और सुरक्षित डाउनलोडिंग
एंड्रॉइड पर XAPK/APK फ़ाइलें इंस्टॉल करने के लिए एक-क्लिक करें!