Download APK sicuri e veloci su APKPure
APKPure utilizza la verifica delle firme per garantire download di APK Biblia agano la kale na jipya senza virus per te.
Biblia takatifu Agano la kale na jipya - Kitabu kitakatifu cha biblia
Biblia takatifu ni Ni mkusanyiko wa vitabu 73 vya maandiko matakatifu vilivyoandikwa na watu tofauti waliovuviwa roho mtakatifu kwa nyakati tofauti tofauti.
Pia utaweza kujifunza mambo mbalimbali kuhusu biblia takatifu ikiwemo kupata neno la kila siku.
Biblia ni habari njema kwa wenye utii kwa bwana Mungu wao.
Soma - Mathayo 1:1 "Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi, mwana wa Ibrahimu"
Basta un clic per installare i file XAPK/APK su Android!