Informazioni su Chef Mapishi - Tujifunze Mapis
Jifunze kupika vyakula vya aina mbalimbali vyenye asili ya Kiafrika.
Chef Mapishi - Tunalenga kufundisha jinsi ya kutayarisha vyakula na vinywaji vya aina mbalimbali. Tumejikita zaidi kwa aina ya vyakula vinanavyopendwa sana jamii za Kiafrika.
Tunafundisha namna ya kutayarisha vyakula vikuu, vitafunio, vitoweo, vinywaji na supu. Tunatumia lugha ya Kiswahili kuwasilisha mada na mafunzo Yetu katika App yetu.
Questo è il motivo per cui unapenda kujifunza zaidi kuhusu mapishi ya vyakula vya Kiafrika basi Chef Mapishi ni sehemu sahihi kujifunza.
Unaweza kuwashirikisha wenzio kwa kuwatumia App yetu jina yaani "Chef Mapishi" wa wa wahifunze mapishi ya Kitanzania of Afrika kwa ujumla.
Jiunge kwenye Grupu la Telegram kwa kutuma ujumbe kwenda namba hii.
Telegramma - (+255) 0738265492
Email - [email protected].
What's new in the latest 1.0.3
> Hutolewa kwa Kiswahili na kwa asilimia chache ni Kiingereza.
> Makala zinatumwa kwa wiki mara nne (4).
> App itakupa ujumbe kila tunapotuma makala mpya.
> Mapishi yote yanaendana na mazingira ya kitanzania na kiafrika.
Informazioni sull'APK Chef Mapishi - Tujifunze Mapis
Vecchie versioni di Chef Mapishi - Tujifunze Mapis
Chef Mapishi - Tujifunze Mapis 1.0.3

Download super veloce e sicuro tramite l'app APKPure
Basta un clic per installare i file XAPK/APK su Android!