Download APK sicuri e veloci su APKPure
APKPure utilizza la verifica delle firme per garantire download di APK Junior TV senza virus per te.
Ricevi una varietà di informazioni dettagliate ogni giorno.
Pakua Application hii kwa habari za michezo, burudani, ajira, magazeti, siasa na nyingine nyingi kila siku.
Zifuatazo ni sifa za Application yetu:-
1. Inafungua kwa haraka hata mtandao wako ukiwa chini
2. Inatumia data kidogo sana
3. Inatuma ujumbe kila habari mpya inapowekwa kwenye Application yetu.
4. Ina mwonekano mzuri sana
5. Ina Redio mbalimbali za kiswajili ambazo zitakufanya uburudike ma kuhabarika pia
Na mengine mengi utakayo jionea utakapo pakua Application hii.
Pakua leo kwa habari zisizopoa, unazipata za moto kabisaa.
Basta un clic per installare i file XAPK/APK su Android!