Kilimo Biashara
Informazioni su Kilimo Biashara
App inayotoa mafunzo ya Kilimo Biashara katika nyanja mbalimbali za kilimo
App inayotoa mafunzo ya Kilimo Biashara katika nyanja mbalimbali kama vile Biashara, Teknolojia, Mapishi, Ufugaji, Sanaa na Kilimo.
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.
.
.
Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video.
.
.
Pia unaweza kututembelea katika Sito web yetu kwa kuandika www.kilimobiashara.org . Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (App na Website) isipokua Majarida 'yanauzwa'.
Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano yetu.
Email: [email protected]
WhatsApp: +255 762 799 080
.
************************************************** ***************
Soluzioni Android
Progettato da;
Soluzioni Android Mshindo
Wanging'ombe
Njombe.
WhatsApp: +255 762 799 080
Email: [email protected]
What's new in the latest 1.3.7
Informazioni sull'APK Kilimo Biashara
Vecchie versioni di Kilimo Biashara
Kilimo Biashara 1.3.7
Kilimo Biashara 1.3.6
Kilimo Biashara 1.3.0
Kilimo Biashara 1.2.9
Download super veloce e sicuro tramite l'app APKPure
Basta un clic per installare i file XAPK/APK su Android!