Informazioni su Mwongozo wa Bembea ya Maisha
Utangulizi, jalada, anwani, maudhui, wahusika, mbinu za usemi, maswali n.k.
Madhumni ya kuandika mwongozo huu ni kumrahisishia mwalimu na mwanafunzi kazi na kumpa mwelekeo unaofaa. Mwongozo huu umeeangazia masuala ibuka katika utahini wa karatasi ya tatu ya kiswahili katika mtihani wa KCSE.
Kitabu hiki kimeangazia vipengele vya uandishi wa Fasihi andishi. kv Mtindo, Dhamira, Wahusika, Muundo, Maudhui, Lugha n.k
Tamthilia ya 'Bembea ya Maisha' ni Kitabu ambacho kimeandikwa na Mwandishi shupavu na mashuhuri nchini kenya Timothy Arege ambaye pia aliandika Tamthilia ya 'Mstahiki Meya.' nk
Informazioni sui contatti:
Telefono: +254718055483
Indirizzo e-mail: [email protected]
WhatsApp: https://api.whatsapp.com/send?phone=+254718055483
Pagina Facebook: https://www.facebook.com/profile.php?id=100088220378456
Canale YouTube: https://youtube.com/@mwalimu_Sifuna
What's new in the latest 10.10
Android 13 support
Informazioni sull'APK Mwongozo wa Bembea ya Maisha
Vecchie versioni di Mwongozo wa Bembea ya Maisha
Mwongozo wa Bembea ya Maisha 10.10
Mwongozo wa Bembea ya Maisha 7.9
Mwongozo wa Bembea ya Maisha 6.5
Mwongozo wa Bembea ya Maisha 5.4

Download super veloce e sicuro tramite l'app APKPure
Basta un clic per installare i file XAPK/APK su Android!