Neno la Leo & Tafakari ya Leo

Neno la Leo & Tafakari ya Leo

  • 14.9 MB

    Dimensione

  • Android 4.2+

    Android OS

Informazioni su Neno la Leo & Tafakari ya Leo

Pata neno la mungu la kila siku pamoja na tafakari yake

Kila siku mwenyezi mungu kupitia maandiko yake matakatifu anatukumbusha na kutufundisha kitu kipya, hivyo basi mpendwa katika Kristo unapaswa kujikumbusha na kusoma neno la mungu kila siku, Neno la leo & Tafakari ya Leo ni aplikesheni itakayokufaa katika kuliishi neno na kumfuata kristo Yesu. Kupitia aplikesheni hii utakuwa unapokea ujumbe mfupi kila siku kuhusiana na neno pamoja na tafakari yake ya siku husika. Pia utaweza kuyasoma maneno yaliyopita pasipo kuwa na kifurushi cha internet. Kumbuka kumpenda Jirani yako kwa kumsambazia naye aplikesheni hii ili aweze kubarikiwa.
Mostra Altro

What's new in the latest 1.01

Last updated on 2018-10-25
- Upgraded to the latest android version
- Fixed notifications issues
- Fixed bugs
Mostra Altro

Video e screenshot

  • Poster Neno la Leo & Tafakari ya Leo
  • 1 Schermata Neno la Leo & Tafakari ya Leo
  • 2 Schermata Neno la Leo & Tafakari ya Leo
  • 3 Schermata Neno la Leo & Tafakari ya Leo

Vecchie versioni di Neno la Leo & Tafakari ya Leo

Icona APKPure

Download super veloce e sicuro tramite l'app APKPure

Basta un clic per installare i file XAPK/APK su Android!

Scarica APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies