Nyimbo nzuri mpya za Injili

Nyimbo nzuri mpya za Injili

Maktaba Africa
Sep 13, 2022
  • 5.0

    Android OS

Informazioni su Nyimbo nzuri mpya za Injili

Sikiliza audio e video di tazama da nymbo mbalimbali a dini

Sikiliza audio e video di tazama da nyimbombalimbali da dini, KARIBU SANA

Sikiliza audio e video (online e offline) da nyimbombalimbali a injili kupitia application hii.

Applicazione hii imebeba nyimbo na video mbalimbali za wasanii maarufu, nyimbo za zamani na pia nyimbo za sasa, tenzi za rohoni, nyimbo za kusifu na kuabudu, nyimbo za christmas, nyimbo za katoliki, nyimbo za kisabato na nyimbo mbalimbali za wasanii ndani na nje ya ya Africa Mashariki

Nyimbo za Dini ni application ni ambayo kuna nyimbo za waimbaji Mbali Mbali kama vile Bahati Bukuku, Martha Mwaipaja, Rose Mhando, Christina Shusho, Goodluck Gozbert, Boni Mwaitege, Komando wa yesu, Dr Sarah K, christopher Mhangila, Mch Abiud, Dr. Ipyana ,Atosha kisava,Medrick Sanga,Kwaya ya mtakakifu kizito, kwanya ya mtakatifu cesilia, Pascal Cassian, mtoto Yohana Antony, Angel Bernard, Mercy Chinwo,Mercy Masika,Joel Lwanga, Sinach, Ada,Solmon Mkubwa, walter Chilambo, John lisu, Paul Clement, Ambasadors Choirs, Ambwene Mwasongwe, Beatrice Mwaipaja, Pastor Antony Msembi, Enock Jonas, Jenifer Mgendi, Jeni Misso, Joseph Nyuki, makoma, Amoni Kilailo, Upendo Nkone, Paul mwai, canti di lode e adorazione (nyimbo za kusifu na kuabudu)

App hii imeweka nyimbo za katoliki katika makundi haya

-NYIMBO ZA PASAKA

-NYIMBO ZA NOELI

-NYIMBO ZA ROHO MTAKATIFU

-NYIMBO ZA KWARESMA

-NYIMBO ZA EKARISTI

-NYIMBO ZA SIFA NA SHUKRANI

-NYIMBO ZA SADAKA

-NYIMBO ZA BIKIRA MARIA

Ili kukurahisishia kusikiliza nyimbo kwa mpangilio mzuri

Pia app hii ina nyimbo mbalimbali za kisabato kutoka kwaya maarufu kama

ambasciatori di cristo, Zabron Singers (mkono wa bwana ), Njiro SDA, Burka SDA, Kurasini SDA, Redemption singers n.k

pia na nyimbo za kristo

Mostra Altro

What's new in the latest 1.3

Last updated on Sep 13, 2022
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Mostra Altro

Video e screenshot

  • Poster Nyimbo nzuri mpya za Injili
  • 1 Schermata Nyimbo nzuri mpya za Injili
  • 2 Schermata Nyimbo nzuri mpya za Injili
  • 3 Schermata Nyimbo nzuri mpya za Injili
Icona APKPure

Download super veloce e sicuro tramite l'app APKPure

Basta un clic per installare i file XAPK/APK su Android!

Scarica APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies