Tenzi za Rohoni Pro

Robert Londo
Apr 10, 2020
  • 4.0.3

    Android OS

Informazioni su Tenzi za Rohoni Pro

Nyimbo za za Tenzi Rohoni na nyimbo za Dini kwenye SIMU yako

App HII inakuwezesha kupata nyimbo za injili kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali Popote.

App HII ina nyimbo za dini 138 Kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za Dini cha Tenzi za Rohoni. Huna Haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini, unaweza kusoma na kusikiliza ala (audio) za za nyimbo injili bila kuwa na intaneti (Offline)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani Yenu katika Hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na na nyimbo Tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa Neema mioyoni mwenu.

Wakolosai 03:16

Caratteristiche

★ Tenzi za Rohoni 138 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.

★ Ala za Tenzi bila intaneti (Offline)

★ Pata Tenzi kwa kwa urahisi kutafuta Kutoka kwenye orodha ya Tenzi.

★ Tafuta Neno lolote kwenye Tenzi zote

★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo

★ Kuongeza ukubwa wa maandishi

★ Kuchagua aina ya Fonti za aya

★ Kupanga orodha ya Tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

Mostra AltroMostra meno

What's new in the latest 2.0.4

Last updated on Apr 10, 2020
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Download super veloce e sicuro tramite l'app APKPure

Basta un clic per installare i file XAPK/APK su Android!

Scarica APKPure