Informazioni su Tujuzane
Scarica la mia app per informazioni aggiornate su sport, intrattenimento e politica.
App hii inakupatia urahisi wa kupata habari mbalimbali zilizo chambuliwa kwa kina ikiwemo michezo, elimu, muziki, siasa, Magazeti na nyingine nyingi kila siku kiganjani kwako.
App pia ina mwonekano mzuri na wa kuvutia na inafunguka kwa urahisi na inatumia data (mb) kidogo sana ukilinganisha App nyingine kutokana na kutengenezwa kwa utaalam wa hali ya juu.
Zifuatazo ni sifa za App yangu:-
1. Ni rahisi kutumia hata kama huna elimu kubwa unaweza ukatumia kwani haina mizunguko mingi.
2. Inakutumia ujumbe kila habari mpya inapoandikwa kwenye tovuti yetu mara moja bila kuchelewa.
3. Inatumia data kidogo sana (Data budgeting) kwani ukishafungua post inakuwa saved kwenye history ambapo baadae unaweza kuisoma bila kutumia data zako.
4. Ina mkusanyiko wa habari zote unazozihitaji kila siku kukufanya kujua kila kinachoendelea duniani kote.
Na mengine mengi sana utayapata kupitia Application yetu, pakua sasa ujionee maajabu ya teknolojia.
What's new in the latest 4.5
Informazioni sull'APK Tujuzane
Vecchie versioni di Tujuzane
Tujuzane 4.5
Download super veloce e sicuro tramite l'app APKPure
Basta un clic per installare i file XAPK/APK su Android!







