Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)
このGazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)について
Soma Magazeti na Habari Mbalimbali za Tanzania Bila Matangazo
Kupata habari imekuwa ni rahisi sana siku hizi, hii inatokana na kuwepo kwa vyanzo vingi vya habari kiasi kwamba ni lazima utaweza kupata habari kupitia vyanzo hivyo. Lakini wote tunajua ni ngumu sana kupata habari kwa ukamilifu kwa kuwa haiwezekani kutembelea tovuti zote hizo kwa pamoja ndio maana tunakuletea App ya Gazeti.
Gazeti ni App itakayokupa uwezo wa kusoma Magazeti ya leo pamoja na habari mbalimbali kwa urahisi kutoka tovuti mbalimbali bila Matangazo, Mbali na tovuti app ya Gazeti inakupa uwezo wa kusikiliza radio pamoja na idhaa za kiswahili kutoka nchi mbalimbali.
Gazeti App pia inakupa urahisi wa kuangalia TV mbalimbali za hapa nchini Tanzania na nje ya nchi, kifupi ni kwamba Gazeti App inakupa habari zote za Ndani ya Tanzania kwa haraka na kwa urahisi na bila kuwepo kwa Matangazo. Tunategemea kuongeza vyanzo vingine mbalimbali hivyo hakikisha unapakua app ya Gazeti sasa.
* Unaweza kusoma Habari Kutoka Tovuti kubwa za Habari Tanzania.
* Unaweza Kuangalia Mbalimbali Habari Kutoka Vyanzo vikubwa vya Habari Tanzania.
* Unaweza kusikiliza Radio na kuangalia TV za ndani na nje ya Tanzania.
* Na mengine mengi.....
最新バージョン 2.0 の更新情報
* Global TV YouTube
* Ayo TV YouTube
* Wasafi Media YouTube
* Bongo 5 YouTube
* Azam TV YouTube
* MCL Digital YouTube
* ITV Tanzania YouTube
* TBC Online YouTube
* EATV YouTube
Sehemu Mpya ya Social Media
* Sehemu hii inakuja na vyanzo mbalimbali vya habari kutoka kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram
Maboresho ya Muonekano
Maboresho ya Sehemu ya Michezo Tumeongeza AZAM TV
Sehemu Mpya ya Jinsi ya Kutumia