APKPure で安全で高速な APK のダウンロード
APKPure は署名検証を使用して、ウイルスフリーの Habari 360 (Habari Za Tanzania) APK ダウンロードを保証します。
Habari ZAタンザニアkutoka vyanzo vyote nchini kiurahisiよりたくさんpunde zinapojiri。
App ya Habari 360 hii imeboreshwa zaidi kukuwezesha kusoma habari zote kutoka vyanzo vyote vya habari Tanzania kiurahisi na kwa haraka zaidi.
App hii pia inafanya kazi online na offline (baada ya kuzima data)
Jipatie habari za:
✔ Magazeti ya kila siku asubuhi.
✔ Michezo na burudani kila zinapojiri.
✔ Siasa mbalimbali.
✔ Habari za kitaifa.
✔ Habari za kimataifa.
Pia utajuzwa kupitia notification kila habari mpya zinapojiri.