このHabari Mitandaoniについて
パタ・カジクワharaka、Jifunze kuwa田尻PIA kuwa WAクワンザkujua kilichotokea
App hii inakuwezesha kupata habari kwa haraka habari yoyote ile iwe nafasi za kazi utazipata kwenye simu yako ndani ya dakika moja toka iandikwe mitandaoni.
App hii inakuwezesha kujifunza ujasiriamali na mambo mengine ya kimaisha kwa lengo la kuboresha maisha yako na kuondoa umaskini.
App hii si ya kukosa kwakua ukiiweka kwenye simu yako hutapitwa na habari yoyote inayotokea tanzania au duniani kwa ujumla sasa wewe ndiyo utakuwa wa kwanza kusimulia wengine sio wao wakusimulie wewe.
habari za michezo ukitaka kujua matokeo ya mechi mbalimbali zinazochezwa tanzania na duniani kwa ujumla vyote vipo kwenye app hii.
Iweke kwenye simu yako sasa bonyeza install
最新バージョン 1.0 の更新情報
Last updated on 2017-07-25
Pata kazi kwa haraka, Jifunze kuwa Tajiri pia kuwa wa kwanza kujua kilichoandikwa kwenye blog zaidi ya 600 kila siku
Habari Mitandaoniの旧バージョン
Habari Mitandaoni 1.0
10.5 MB2017年07月24日