Mawaidha ya kiislam anayopaswa muislam kusikiliza na Dua bora za kila siku
Mawaidha, Mafundisho, hadithi, na maswali na majibu , Dua mbalimbali za kila siku zinazompasa mwanadamu haswa alieamini katika uislam azishike hii App ipo kwa kuajiri ya kuwapa faida wote. Na tiba za kisunna