APKPure で安全で高速な APK のダウンロード
APKPure は署名検証を使用して、ウイルスフリーの MucciApp APK ダウンロードを保証します。
現代の灌漑を可能にするプログラム
MucciApp inamuwezesha mkulima kujua kiwango cha maji kinachohitajika kumwagilia mazao yake, na kumsaidia katika matumizi bora ya rasilimali maji na umeme. Mkulima anaweza kuweka ratiba za umwagiliaji zinatokana na eneo analolima, aina ya zao, hali ya hewa, aina ya udongo na tabia nchi ya eneo husika.
MucciApp ni programu ya kidijitali inayojali rasimali maji na kuunga mkono malengo ya maendeleo endelevu namba 12 na 9