相馬| Tengeneza QRコードバーコードナ
Simu QR itakusaidia kutengeneza QR Codes pamoja na Barcodes kwa Urahisi lupitia simu yako ya mkononi. Mbali na kutengeneza QR Codes na Barcodes App hii pia itakusaidia kusoma Codes hizo kwa kutumia kamera ya simu yako ya mkononi. Simu QR ni rahisi kutumia na inahifadhi kumbukumbu za codes zako moja kwa moja kuptia simu yako ya mkononi.