APKPure で安全で高速な APK のダウンロード
APKPure は署名検証を使用して、ウイルスフリーの Text Moto za Mapenzi APK ダウンロードを保証します。
アプリhii inakupa SMS za mapenzi na mahaba tele。ボレシャペンジラコ!!!!
Text Moto za Mahaba na Mapenzi
Mapenzi au Mahaba ni kitu cha maana sana. Ukiwa na mpenzi wako ama mchumba wako, App hii itakusaidia sana kudhumisha mapenzi yako.
Text hizi zitakupa nafasi ya kuchagua bubble ili utume SMS. App hii ina SMS nyingi sana za kudhumisha mapenzi.
Utumizi:
- Chagua kitengo kimoja cha mahaba.
- Bonyeza chaguo lako
- Tuma SMS yako kwa mpenzi wako.
Kwenya App hii utapata yafuatayo:
*Text za Marafiki
*Text za Vichekesho
*Text za Mapenzi
*Text za Wapendanao
*Text za Mahaba
*Text za Mungu
*Text za Mapenzi
Mapenzi ama Mahaba ni kitu cha maana sana. Download App hii mpya na utafurahia mapenzi.