APKPure Appを使用する
Tiba za mitishambaの旧いバージョンをダウンロードすることが可能
Jitibu nyumbani kwa tiba za mitishamba
Tiba za mitishamba ni tiba asili za mimea ambazo hazina athari yoyote katika afya ya binaadam. App hii ya mitishamba inakuwezesha kufahamu mimea mbalimbali pamoja na kazi zake katika kutibu magonjwa mbalimbali. Hapa utafahamu mimea, matunda, maua, mizizi pamoja na magome ya miti mbalimbali. Utajifunza pia uandaaji wa dawa hizo kwa kina pamoja na matumizi yake kwa ujumla.うきわなアプリひーにらひしクジティブ・ニュンバニ・ムウェンイェー。Last updated on 2023年10月14日
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Tiba za mitishamba
1.0 by DiraJumla
2023年10月14日