Bishop Mpemba Teachings
4.4 and up
Android OS
Bishop Mpemba Teachings 정보
음펨바 주교 교육 및 온라인 라디오 Ughaibuni 라이브 스트리밍
Salamu nyingi sana ziwafikie Watanzania wote pamoja na wakiristo wote duniani kote wanao penda kumsikiliza Bishop Augustine Mpemba kwa lugha ya kiswahili.
Official Youtube Channel ya Bishop Augustine Mpemba kwa sasa ina subscribers 15.9K ambapo asilimia %35 ni Watanzania wanao ishi tanzania lakini asilimia %60 ni mchanganyiko wa Watanzania na wasio watanzania ambao hawaishi Tanzania.
Hivyo leo imempendeza Mungu kuwasogezea app hii iitwayo Bishop Mpemba Teachings na hii ni baada ya kugundua kuwa Wakristo walioko Tanzania ambao ni %35 na %65 ambao hawako Tanzania wamekuwa wakivutiwa na maudhui ya Channel ya Bishop Mpemba.
Hivyo imekuwa ni jambo la busara na jema kwamba kutokana na maombi ya wadau wa Bishop Mbemba kwambwa kuwe na platform au dawati mojawapo ambalo kupitia hapo watu wote waweze kumsikiliza Bishop Mpemba kwa njia ya sauti na pia kusoma vitabu au mafundisho ya Bishop Mpemba kwa njia ya maandishi na maandiko.
Sasa basi leo hii wote tunaweza kupata mafundisho ya Kiroho kupetia ujumbe wa sauti na ujumbe wa maandisji kwa njia ya kusoma.
Karibu uungane na Bishop Mpemba (Mzee wa Fumbua Macho) ili upate chakula cha uzima chenye maziwa yasiyoghoshiwa.
Keywords:
MAFUNDISHO YA BISHOP MPEMBA
MAFUNDISHO YA BISHOP AUGHUSTINE MPEMBA
MAFUNDISHO YA KUFUMBUA MACHO
FUMBUA MACHO YAKO LEO
MZEE FUMBUA MACHO
FUMBUA MACHO RADIO
What's new in the latest 1.0
Bishop Mpemba Teachings apk 정보
APKPure 앱을통한매우빠르고안전한다운로드
한번의클릭으로 Android에 XAPK/APK 파일을설치할수있습니다!