English Club Mwanza
Doxandroid
Jan 24, 2019
4.1 and up
Android OS
English Club Mwanza 정보
Jifunze Kiingereza kwa haraka zaidi ndani ya siku 30 tu. Tunatumia mbinu mpya.
Je Katika Kingreza Shida yako ni Ipi kati hizi?
1. Mimi ni mwoga wa kuongea kingreza
2. Kutunga sentesi ni shida
3. Sina maneno ya kutosha
4. Sijihamini
5. Nasikia vizuri ila kujibu siwezi
6. Naandika vizuri, kusoma vizuri shida ni kuongea
7. Mimi naibu
8. Sina spidi ya kuongea(fluency)
9. Mimi sijuhi chochote kabisa
10. Mimi shida yangu matamshi
Kwa uzoefu wetu zaidi ya miaka 15, tumekuwa tukifundisha kingreza tutaweza kumaliza tatizo lako ndani ya muda mfupi.
Walimu wetu chini ya Mr. English wana uzoefu wa kuongea na kufundisha Kingrez halisi
What's new in the latest ECM 1.0
Last updated on Jan 24, 2019
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
English Club Mwanza apk 정보
APKPure에서 안전하고 빠른 APK 다운로드
APKPure는 바이러스 없는 English Club Mwanza APK 다운로드를 위해 서명 확인을 사용합니다.
APKPure 앱을통한매우빠르고안전한다운로드
한번의클릭으로 Android에 XAPK/APK 파일을설치할수있습니다!