Jinsi ya Kupaka Mekap-메이크업 튜토리얼 (오프라인)
Jifunze kupaka makeup kwa njia tofauti zinazotumiwa na watu wengi kupitia njia ya video na picha. Utajifunza ujuzi mwingi wa urembo (makeup) kwa njia ya videos mbalimbali. Jifunze namna ya kupaka makeup leo kwa njia rahisi zaidi ukitumia Jinsi ya Kupaka Mekap - makeup tutorials app kwa kiswahili na kiingereza offline. You will learn in swahili and also in english how to makeup step by step offline.