Weka Sokoni
4.2 and up
Android OS
Weka Sokoni 정보
누푸, 우자, 타 푸타
Weka Sokoni ni app ya ma tangazo ambayo inaruhusu watumiaji kununua kutoka na kuuza kwa wengine wa karibu. Unaweza kutumia Weka Sokoni kujadili, kununua au hatimaye kutoa bure vitu ambavyo hauitaji nyumbani kwako.
Wauzaji wataposti bidhaa zao na kungojea mnunuzi awasiliane nao. Mara tu mawasiliano yanapopatikana, muuzaji anaweza kutoa vigezo na masharti ya manunuzi, au kuuza "kama ilivyo," na kukubaliana mahali pa kukutana ili kubadilishana bidhaa hiyo kwa pesa.
Kwa usalama wako, inashauriwa utumie pesa taslimu tu kwa aina hizi za ununuzi na kuktana mahali pa umma kufanya mhamala. Kamwe usitume pesa kabla ya bidhaa na hakikisha unakagua bidhaa kabla ya kutoa pesa zako uliyopata kwa ugumu.
What's new in the latest 1.0
APKPure 앱을통한매우빠르고안전한다운로드
한번의클릭으로 Android에 XAPK/APK 파일을설치할수있습니다!