Beta Application RASMI ya CCM kwa ajili ya wanachama wote wa CCM duniani kote.
Mwanachama wa Chama cha mapinduzi jisajili hapa kwa kujaza taarifa zako sahihi na pale zitakapothibitishwa utaweza kutumia mambo yote yaliomo ndani, Watumiaji wa application hii ni wanachama wa CCM pekee, Hii inawahusu wanachama walisajiliwa mpaka kufikia sasa au watakaosajiliwa baadae katika matawi mbalimbali ya CCM Tanzania au nje ya nchi. Tafadhali kama wewe ni kiongozi wa tawi(mwenyekiti na katibu),kata(mwenyekiti na katibu),wilaya(mwenyekiti,katibu na vingine vyote),mkoa(mwenyekiti na katibu na vingine vyote),taifa,vijana(taifa) unaruhusiwa kuchagua kama kiongozi wa chama, viongozi wengine wote ambao hampo katika nyadhifa hizo kwa sasa msijaze kuwa ni viongozi.