Ufugaji wa Kuku Kitaalamu

  • 5.5 MB

    Saiz Fail

  • Android 5.0+

    Android OS

Mengenai Ufugaji wa Kuku Kitaalamu

App ambayo imejikita katika kutoa elimu juu ya ufugaji wa kuku aina zote tu

Ni App ambayo inatoa elimu juu ya ufugaji wa kuku aina zote kitaalamu

Aplikasi Kupitia hii utapata maelekezo rahisi na sahihi ya kutatua changamoto mbalimbali za ufugaji kuku, ikiwemo Malezi ya vifaranga, ujenzi wa banda sahihi, Magonjwa, chanjo, vyakula vya kuku, masoko ya bidhaa zitokanazo na kuku, utotoleshaji

Aplikasi Kupitia hii utaweza kuuliza maswali kwa mtaalamu wa Kuku na utajibiwa moja kwa moja kupitia, Instagram, Twitter, Facebook, YouTube na Simu ya maongezi.

Tunjukkan LagiKurangkan

What's new in the latest 1.3.3

Last updated on 2024-07-01
Playbutton enabled
Videos enabled
Auto push notification - Latest Updates
Bugs Fixed and Performance Improved
Offline mode enabled
Added Social networks

Muat Turun Super Pantas dan Selamat melalui Apl APKPure

Satu klik untuk memasang fail XAPK/APK pada Android!

Muat Turun APKPure