Mapato na Matumizi (Bila Matangazo)
Over Mapato na Matumizi (Bila Matangazo)
Usipoteze Pesa Fahamu Mapato na Matumizi Yako
Mapato na Matumizi ni app itakayo kusaidia kuhifadhi data za mapato na matumizi yako kwa urahisi kwa kutumia simu yako.
App hii inakuja na mfumo rahisi ambao unakuwezesha kuweka data zako za mapato na matumizi kwa urahisi na haraka. Kupitia app hii utaweza kuona matumizi yako na mapato kwa kila mwezi na pia utaweza kuona list nzima ya mapato na matumizi kupitia kurasa maalum ndani ya app hii.
Kizuri ni kuwa, huna haja ya kuwa na Internet ili kuweza kutumia app hii basi unacho hitaji ni simu yako tu. App hii pia haina matangazo na utaweza kutumia bila usumbufu wowote.
Kwa sasa app hii haina sehemu ya Backup hivyo endelea kutumia app hii wakati tukitengeneza sehemu ya backup kwa ajili yako.
What's new in the latest 1.2.0
Mapya Toleo Hili
Sasa utaweza ku-backup data zako na hazitoweza kupotea Tena
Muonekano Mpya na Rahisi Kutumia
Njia Mpya ya kulinganisha Mapato na Matumizi
Vipengele Muhimu
Ongeza Vipengele vya Ziada
Jisajili kwa Google
Badilisha Alama ya Fedha
Uwezo wa kuona Mapato Makubwa
Takwimu za Mapato na Matumizi
Taarifa Utakapo pita masaa 24 bila kuweka mapato au matumizi
Mapato na Matumizi (Bila Matangazo) APK -informatie
Oude versies van Mapato na Matumizi (Bila Matangazo)
Mapato na Matumizi (Bila Matangazo) 1.2.0
Supersnel en veilig downloaden via de APKPure-app
Eén klik om XAPK/APK-bestanden op Android te installeren!