Tenzi za Rohoni - Toleo 2023

Tenzi za Rohoni - Toleo 2023

Majuto Apps
Jul 12, 2023
  • 6.0

    Android OS

O Tenzi za Rohoni - Toleo 2023

Sikiliza na Soma Tenzi za Rohoni Toleo Jipya

Tenzi za Rohoni Toleo Jipya Kimeboreshwa sasa Unaweza kusoma Nyimbo za injili 161 bila kuwa na intaneti (Offline)

App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

FEATURES

★ Tenzi za Rohoni 138 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.

★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)

★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.

★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote

★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo

★ Kuongeza ukubwa wa maandishi

★ Kuchagua aina ya fonti za aya

★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti.

Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.

Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.

Pokaż więcej

What's new in the latest 1.0

Last updated on Jul 12, 2023
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Pokaż więcej

Filmy i zrzuty ekranu

  • Tenzi za Rohoni - Toleo 2023 plakat
  • Tenzi za Rohoni - Toleo 2023 screenshot 1
  • Tenzi za Rohoni - Toleo 2023 screenshot 2
  • Tenzi za Rohoni - Toleo 2023 screenshot 3
  • Tenzi za Rohoni - Toleo 2023 screenshot 4
  • Tenzi za Rohoni - Toleo 2023 screenshot 5
  • Tenzi za Rohoni - Toleo 2023 screenshot 6
  • Tenzi za Rohoni - Toleo 2023 screenshot 7
APKPure ikona

Superszybkie i bezpieczne pobieranie za pośrednictwem aplikacji APKPure

Jedno kliknięcie, aby zainstalować pliki XAPK/APK na Androidzie!

Pobierz APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies