Sasa kupitia simu yako ya mkononi, unaweza kutafuta nyumba yako unayoipenda, kununua kiwanja, gari na mali nyingine yoyote wakati wowote na ukiwa mahali popote. Kupitia dalali, huna haja ya kuzunguka kutafuta wapi utapata nyumba nzuri unayoipenda! Taarifa zote tutakuletea kwenye kiganja cha mkono wako. Dalali inakuletea njia rahisi itakayokupunguzia gharama na kutunza muda wako. Usisite kuwasiliana nasi na karibu uitumie Dalali
แสดงเพิ่มเติม
What's new in the latest 1.0.0
Last updated on Nov 29, 2016
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!