TVideo Editor
เกี่ยวกับ TVideo Editor
Edit Video Kisasa
TVideo Editor ni app mpya ya kisasa ambayo inakusaidia kuweza ku-edit video kisasa kwenye simu yako ya mkononi ya Android.
Kupitia App ya TVideo Editor utaweza ku-edit video zako kwa urahisi na kwa haraka na kwa usahihi. App hii ni rahisi kutumia na inakuja na sehemu maelekezo jinsi ya kutumia hivyo usiwe na wasiwasi jinsi ya kutumia.
Ndani ya TVideo Editor utaweza kufanya mambo mbalimbali kama vile
YALIYOMO
✔ Utaweza Kuweka Slow Motion kwenye Video (Slow Motion)
✔ Utaweza Kuunganisha Video Mbili (Video Joiner)
✔ Utaweza Kubadilisha Format ya Video (Video Compress)
✔ Utaweza Kubadilisha Video kwenda kwenye MP3 (Video to MP3)
✔ Utaweza Kuzima Sauti Kwenye Video (Mute Video)
✔ Utaweza Kupeleka Video Haraka (Fast Motion)
✔ Utaweza Kutenganisha Video (Video Cutter)
✔ Utaweza Kubadilisha Picha Kwenda Kwenye Video (Photo to Video)
✔ Utaweza Kubadilisha Video kwenda Kwenye GIF (Video to GIF)
✔ Utaweza Kubadilisha Muelekeo wa Video (Video Rotation)
✔ Utaweza Kubadilisha Mfumo wa Audio (Audio Compress)
Na Mengine mengi sana ambayo unaweza kufanya kwa urahisi.
Kama umependa app hii basi unaweza kuipa nyota 5, kama unayo maoni au ushauri basi unaweza kuwasiliana nasi kupitia sehemu ya mawasiliano hapo chini.
What's new in the latest 1.0
ข้อมูล TVideo Editor APK
TVideo Editor รุ่นเก่า
TVideo Editor 1.0
การดาวน์โหลดที่รวดเร็วและปลอดภัยเป็นพิเศษผ่านแอป APKPure
คลิกเพียงครั้งเดียวเพื่อติดตั้งไฟล์ XAPK/APK บน Android!