Zanzibar News
Zanzibar News hakkında
Zanzibar Haberler ni App ya kipekee kwa haberî za Zanzibar na Tanzanya
Zanzibar News inakusogezea karibu habri zote kubwa kuhusu Siasa za Zanzibar sanjari na kukupa suluhisho la kiu ya Habari zilizoandikwa kwa kina na umahiri kutoka katika wavuti kubwa za Habari Zanzibar na Tanzania Bara.
Kupitia App hii utafanikuwa kuwa miongoni mwa watu wa kwanza kabisa kupata Habari mpasuko moja kwa moja kupitia simu yako,habari picha na sauti bila kusahau video za kuelimisha .
Ifanye App ya Zanzibar News kuwa chanzo chako cha habari za kila siku kwa kuidownload ,kurate na kuishare kwa jamaa zako kadri uwezavyo ili nao wafurahie kuhabarika na habari za kina za Kisiasa,kijamii,kiuchumi,michezo na Burudani.
Asante kwa kuichagua Zanzibar News
What's new in the latest 1.0
Zanzibar News APK Bilgileri
Zanzibar News'in eski sürümleri
Zanzibar News 1.0
APK Uygulaması ile Süper Hızlı ve Güvenli İndirme
XAPK/APK dosyalarını Android'e yüklemek için tek tıkla!